sw_mat_text_ulb/17/24.txt

1 line
368 B
Plaintext

\v 24 Nao walipofika Kapenaumu, watu wakusanyao kodi ya nusu shekeli wakamwendea Petro na kusema, "Je mwalimu wenu hulipa kodi ya nusu shekeli?" \v 25 Akasema, "Ndiyo" Lakini Petro alipoingia ndani ya nyumba, Yesu akaongea na Petro kwanza na kusema, " Unafikiria nini Simon? Wafalme wa dunia, hupokea kodi au ushuru kutoka nani? Kwa wale wanaowatawa kutoka kwa wageni?