sw_mat_text_ulb/17/09.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 9 Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu akawaagiza, akasema, "Msitoe habari ya maono hayo mpaka Mwana wa Adamu atakapofufuka kutoka katika wafu." \v 10 Wanafunzi wake wakamwuliza, wakisema, " Ni kwanini waandishi wanasema kuwa Eliya atakuja kwanza?