sw_mat_text_ulb/17/03.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 3 Tazama, pale walitokea Musa na Eliya wakiongea naye. \v 4 Petro akajibu na kumwambia Yesu, "Bwana, ni vema kwetu sisi kuwepo mahali hapa. Kama ukitamani, nitajenga hapa vibanda vitatu - kimoja chako, na kimoja kwa ajili ya Musa, na kimoja kwa ajili ya Eliya."