sw_mat_text_ulb/16/17.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 17 Yesu akamjibu na kumwambia, "Umebarikiwa wewe, Simoni Bar Yona, kwa kuwa damu na nyama havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. \v 18 Nami pia ninakwambia kuwa wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu. Milango ya kuzimu haitalishinda.