sw_mat_text_ulb/16/13.txt

1 line
384 B
Plaintext

\v 13 Wakati Yesu alipofika sehemu za Kaisaria ya Filipi, akawauliza wanafunzi wake, akisema, "Watu wanasema kuwa Mwana wa Mtu ni nani?" \v 14 Wakasema," Wengine husema kuwa ni Yohana Mbatizaji; wengine, Eliya; na wengine, Yeremia, au mojawapo wa manabii. \v 15 Akawaambia, ninyi mwasema mimi ni nani? \v 16 Kwa akijibu, Simoni Petro akasema, "Wewe ni Kristo Mwana wa Mungu aliye hai"