sw_mat_text_ulb/16/01.txt

1 line
215 B
Plaintext

\v 1 Mafarisayo na Masadukayo walimjia na kumjaribu Yesu awaonyeshe ishara inayotoka angani. \v 2 Lakini Yesu aliwajibu na kuwaambia kuwa "Ikiwa ni jioni mnasema kuwa hali ya hewa ni nzuri, kwa kuwa anga ni jekundu.