sw_mat_text_ulb/12/24.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 24 Lakini pindi Mafarisayo waliposikia muujiza huu, walisema, "Huyu mtu hatoi pepo kwa nguvu zake mwenyewe isipokuwa kwa nguvu za Belzebuli, mkuu wa pepo. \v 25 "Lakini Yesu alifahamu fikra zao na kuwaambia, "Kila ufalme uliogawanyika wenyewe huharibika, na kila mji au nyumba inayogawanyika yenyewe haitasimama.