sw_mat_text_ulb/12/22.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 22 Mtu fulani kipofu na bubu, aliyepagawa na pepo aliletwa mbele ya Yesu. Akamponya, pamoja na matokeo ya kwamba mtu bubu alisema na kuona. \v 23 Makutano wote walishangaa na kusema,"Yaweza mtu huyu kuwa mwana wa Daudi?"