sw_mat_text_ulb/12/19.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 19 Hatahangaika wala kulia kwa nguvu; wala awaye yote kusikia sauti yake mitaani. \v 20 Hatalivunja tete lililochubuliwa; hatazima utambi wowote utoao moshi, mpaka atakapoleta hukumu ikashinda. \v 21 Na Mataifa watakuwa na ujasiri katika jina lake.