sw_mat_text_ulb/12/15.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 15 Yesu alipoelewa hili aliondoka hapo. Watu wengi walimfuata, na akawaaponya wote. \v 16 Aliwaagiza wasije wakamfanya afahamike kwa wengine, \v 17 kwamba itimie ile kweli, iliyokuwa imesemwa na nabii Isaya, akisema,