sw_mat_text_ulb/12/13.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 13 Kisha Yesu akamwambia yule mtu," Nyoosha mkono wako" Akaunyoosha, na ukapata afya, kama ule mwingine. \v 14 Lakini Mafarisayo wakatoka njena wakapanga jinsi ya kumwangamiza walienda nje kupanga kinyume chake. Walikuwa wakitafuta jinsi ya kumuua.