sw_mat_text_ulb/12/07.txt

1 line
159 B
Plaintext

\v 7 Kama mngalijua hii ina maanisha nini; nataka rehema na siyo dhabihu; msingaliwahukumu wasio na hatia, \v 8 Kwa kuwa Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato."