sw_mat_text_ulb/12/01.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 1 Wakati huo Yesu alienda siku ya sabato kupitia mashambani. Wanafunzi wake walikuwa na njaa na wakaanza kuyavunja masuke na kuyala. \v 2 Lakini Mafarisayo walipoona hayo, wakamwambia Yesu "Angalia wanafunzi wako wanavunja sheria wanatenda siku yasiyo yuhusiwa siku ya Sabato''