sw_mat_text_ulb/11/04.txt

1 line
340 B
Plaintext

\v 4 Yesu akajibu na kusema kwao "Nendeni mkamtaarifu Yohana yale mnayoyaona na yale mnayoyasikia. \v 5 Watu wasioona wanapata kuona, viwete wanatembea, wakoma wanatakaswa, watu wasiosikia wanasikia tena, watu waliokufa wanafufuliwa kupata uhai, na watu wahitaji wanahubiriwa habari njema. \v 6 Na amebarikiwa yule asiyeona shaka juu yangu.