sw_mat_text_ulb/28/18.txt

1 line
216 B
Plaintext

\v 18 Yesu akaja kwao akawambia akisema, "Nimepewa mamlaka yote duniani na mbinguni. \v 19 Kwa hiyo enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi. Wabatizeni katika jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtatkatifu.