sw_mat_text_ulb/27/65.txt

1 line
188 B
Plaintext

\v 65 Pilato akawaambia, "Chukueni walinzi. Nendeni mkafanye hali ya usalama kama muwezavyo." \v 66 Hivyo walikwenda na kufanya kaburi kuwa salama, jiwe liligongwa mhuri na kuweka walinzi.