sw_mat_text_ulb/27/32.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 32 Walipotoka nje, walimwona mtu kutoka Krene jina lake Simeoni, ambaye walimlazimisha kwenda nao ili apate kuubeba msalaba wake. \v 33 Walipofika mahali paitwapo Galigotha, maana yake, "Eneo la fuvu la Kichwa." \v 34 Walimpa siki iliyochanganywa na nyongo anywe. Lakini alipoionja, hakuweza kuinywa.