sw_mat_text_ulb/24/48.txt

1 line
369 B
Plaintext

\v 48 Lakini kama mtumwa mwovu akisema moyoni mwake, 'Bwana wangu amekawia,' \v 49 na akaanza kuwapiga watumishi wake, na akala na kulewa vileo, \v 50 Bwana wa mtumwa huyo atakuja katika siku ambayo haitarajii, na katika saa ambayo haijui. \v 51 Bwana wake atamkata vipande viwili na kumweka katika nafasi moja sawa na wanafiki, ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.