sw_mat_text_ulb/22/29.txt

1 line
206 B
Plaintext

\v 29 Lakina Yesu aliwajibu na kuwaambia, "Mnakosea, kwa sababu hamjui Maandiko wala nguvu za Mungu. \v 30 Kwa kuwa katika ufufuo, watu hawaoi wala kuolewa. Badala yake watu huwa kama malaika huko mbinguni.