sw_mat_text_ulb/17/11.txt

1 line
348 B
Plaintext

\v 11 Yesu akawajibu na kusema, "Eliya atakuja kweli na atarudisha mambo yote. \v 12 Lakini naawaambieni ninyi, Eliya amekwisha kuja, lakini hawakumtambua. Badala yake, walimfanyia mambo watakayo wao. Na hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyoteswa katika mikono yao." \v 13 Ndipo wanafunzi wakatambua kuwa alikuwa akiongea habari za Yohana Mbatizaji.