sw_mat_text_ulb/15/27.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 27 Akasema, "Ndiyo, Bwana, hata hivyo mbwa wadogo hula chakula kiagukacho mezani mwa Bwana wao." \v 28 Ndipo Yesu akajibu na akisema "Mwanamke, imani yako ni kubwa. Na ifanyike kwako kama utakavyo." Na binti yake alikuwa ameponywa katika wakati huo.