sw_mat_text_ulb/15/01.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 1 Ndipo Mafarisayo na waadishi walikuja kwa Yesu kutoka Yerusalemu. Na kusema, \v 2 "Kwa nini wanafunzi wanayahalifu mapokeo ya wazee? Kwa kuwa hawanawi mikono yao wanapokuwa wanakula chakula.'' \v 3 Yesu akawajibu na kuwaambia, "Nanyi__kwa nini mnaihalifu sheria ya Bwana kwa ajili ya mapokeo yenu?