sw_mat_text_ulb/14/28.txt

1 line
309 B
Plaintext

\v 28 Petro alimjibu kwa kusema, "Bwana, kama ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji.'' \v 29 Yesu akasema, "Njoo.'' Hivyo Petro akatoka ndani ya mashua na akatembea juu ya maji kwenda kwa Yesu. \v 30 Lakini Petro alipoona mawimbi, aliogopa, na kuanza kuzama, chini, akaita sauti na kusema, "Bwana, niokoe!''