\v 5 Hawa kumi na wawili Yesu aliwatuma. Naye aliwaelekeza akisema "Msiende sehemu wanakoishi wamataifa na msiingie kwenye miji ya wasamalia. \v 6 Badala yake, mwende kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel. \v 7 Na mnapokwenda, hubirini na kusema, ufalme wa mbinguni umekaribia.'