\v 13 Kwa kuwa manabii na sheria, ikamelcuwa wakitabiri mpaka kwa Yohana. \v 14 Na kamamko tayari kukubali, huyu ni Eliya, yule ajaye. \v 15 Aliye na masikio ya kusikia na asikie.