sw_jhn_text_ulb/06/16.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 16 Ilipokuwa jioni, wanafunzi wake walishuka kwenda ziwani. \v 17 Wakapanda kwenye mtumbwi na walikuwa wakivuka kuelekea Kapernaumu. (Giza lilikuwa limeingia na Yesu alikuwa bado hajaja kwao). \v 18 Wakati huo upepo mkali ulikuwa ukivuma, na bahari ilikuwa ikendelea kuchafuka.