sw_jhn_text_ulb/05/36.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 36 Ushuhuda nilionao ni mkuu kuliko ule wa Yohana, kwa kazi ambazo Baba amenipa kuzikamilisha, hizo kazi nizifanyazo zashuhudia kuwa Baba amenituma. \v 37 Baba aliyenituma yeye mwenyewe ameshuhudia kuhusu mimi. Hamjawahi kusikia sauti yake wala kuona umbo lake wakati wowote. \v 38 Hamna neno lake likikaa ndani yenu kwa kuwa hamumwamini yeye aliyetumwa.