sw_jhn_text_ulb/05/21.txt

1 line
320 B
Plaintext

\v 21 Kwa kuwa kama vile ambavyo Baba awafufuavyo wafu na kuwapa uzima, halikadhalika Mwana pia humpa yeyote ampendaye. \v 22 Kwa kuwa Baba hamhukumu yeyote, bali amempa Mwana hukumu yote \v 23 ili kwamba wote wamuheshimu Mwana kama vile Mwana anavyomuheshimu Baba. Yeye asiyemuheshimu Mwana hamuheshimu Baba aliyemtuma.