sw_jhn_text_ulb/05/14.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 14 Baada ya hapo Yesu alimkuta yule mtu hekaluni na akamwambia, "Tazama, umepona! "Usitende dhambi tena usije ukapatwa na jambo baya zaidi." \v 15 Yule mtu akaenda na kuwataarifu Wayahudi kuwa Yesu ndiye aliyemponya.