sw_jhn_text_ulb/05/12.txt

1 line
208 B
Plaintext

\v 12 Wakauliza, "Ni nani aliyekuambia 'Chukua godoro lako na uende?''' \v 13 Ingawa, yule aliyeponywa hakumjua, kwa sababu Yesu alikuwa ameondoka kwa siri. Kwa kuwa kulikuwa na watu wengi katika sehemu hiyo.