sw_jhn_text_ulb/05/05.txt

1 line
238 B
Plaintext

\v 5 Na mtu mmoja aliyekuwa ameugua kwa muda wa miaka thelathini na minane alikuwa ndani ya matao. \v 6 Yesu alipomwona amelala ndani ya matao na baada ya kutambua kuwa amelala pale kwa muda mrefu Yesu alimwambia, "Je unataka kuwa mzima?"