sw_jhn_text_ulb/04/48.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 48 Ndipo Yesu akamwambia, "Ninyi msipoona ishara na maajabu hamwezi kuamini. \v 49 Kiongozi akasema, " Bwana shuka chini kabla mwanangu hajafa." \v 50 Yesu akamwambia, "Nenda mwanao ni mzima." Yule mtu akaamini neno alilolisema Yesu na akaenda zake.