sw_jhn_text_ulb/04/31.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 31 Wakati wa mchana wanafunzi wake walimsihi wakisema, "Rabi kula chakula." \v 32 lakini yeye aliwambia, "Mimi ninacho chakula msichokijua ninyi." \v 33 Wanafunzi wakaambizana, hakuna aliyemletea kitu chochotekula,"Je walileta?"