sw_jhn_text_ulb/04/25.txt

1 line
161 B
Plaintext

\v 25 Mwanamke akamwambia, "Ninajua kuwa Masihi anakuja, (aitwaye Kristo). Huyo atakapokuja atatwambia yote." \v 26 Yesu akamwambia, "Mimi unayesema nami ndiye."