sw_jhn_text_ulb/04/17.txt

1 line
195 B
Plaintext

\v 17 Mwanamke akamwambia, "Sina mume." Yesu akajibu, "Umesema vyema, 'Sina mume;' \v 18 kwa maana umekuwa na wanaume watano, na mmoja ambaye unaye sasa sio mume wako. Katika hili umesema kweli!"