\v 13 Yesu akajibu, "Yeyote anywae maji haya atapata kiu tena, \v 14 lakini yeye atakaye kunywa maji nitakayompa hatapata kiu tena. Badala yake maji nitakayompa yatakuwa chemchemi inayobubujika hata milele."