sw_jhn_text_ulb/04/09.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 9 Yule mwanamke akamwambia, "Inakuaje wewe Myahudi, kuniomba mimi mwanamke Msamaria, kitu cha kunywa?" Kwa sababu Wayahudi hawachangamani na Wasamaria. \v 10 Yesu akamjibu, "Kama ungelijua karama ya Mungu, na yule anayekuambia 'Nipe maji, ' ungelimwomba, na angelikupa maji ya uzima."