sw_jhn_text_ulb/04/06.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 6 Na kisima cha Yakobo kilikuwa hapo. Yesu alikuwa amechoka kwa ajili ya safari na akakaa karibu na kisima. Ilikuwa muda wa mchana. \v 7 Mwanamke Msamaria alikuja kuteka maji, na Yesu akamwambia, "Nipe maji ninywe." \v 8 Kwa sababu wanafunzi wake walikuwa wameenda zao mjini kununua chakula.