sw_jhn_text_ulb/04/04.txt

1 line
149 B
Plaintext

\v 4 Hivyo ilikuwa muhimu kupitia Samaria. \v 5 Na akafika kwenye mji wa Samaria, unaoitwa Sikari, karibu na eneo ambalo Yakobo alimpa mwanae Yusufu.