sw_jhn_text_ulb/03/29.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 29 Yeye aliye na bibi arusi ni bwana harusi. Sasa rafiki wa bwana arusi, asimamaye na kusikiliza hufurahia sana kwa sababu ya sauti ya bwana arusi. Hii sasa ni furaha yangu iliyotimilika. \v 30 Anapaswa kuzidi, nami napaswa kupungua.