sw_jhn_text_ulb/03/09.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 9 Nikodemo akajibu, kwa kusema, "Mambo haya yawezekanaje?" \v 10 Yesu akamjibu, "Wewe u mwalimu wa Israeli, hata hauyajui mambo haya? \v 11 Amini, amini, nakuambia, kile tunachokifahamu twakishuhudia kwa kile tulichokiona. Lakini hampokei ushuhuda wetu.