sw_jhn_text_ulb/03/05.txt

1 line
182 B
Plaintext

\v 5 Yesu akajibu, "Amini, amini mtu sipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu. \v 6 Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili, na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.