sw_jhn_text_ulb/03/01.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 1 Basi kulikuwa na Farisayo ambaye jina lake Nikodemo, mmoja wa wajumbe wa baraza la Wayahudi. \v 2 Mtu huyu alimwendea Bwana Yesu usiku na akamwambia, "Rabi, tunajua ya kuwa u mwalimu kutoka kwa Mungu, kwa maana hakuna mtu awezaye kutenda ishara hizi zote Mungu asipokuwa pamoja naye."