sw_jhn_text_ulb/01/37.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 37 Wanafunzi wawili walimsikia Yohana akisema haya wakamfuata Yesu. \v 38 Tena Yesu aligeuka na kuwaona wanafunzi wale wakimfuata, na akawambia, "Mnataka nini?" Wakajibu, "Rabbi, (maana yake 'mwalimu,' unaishi wapi?" \v 39 Akawambia, "Njooni na mwone."Kisha walikwenda na kuona mahali alipokuwa akiishi; walikaa pamoja naye siku hiyo, kwa kuwa ilikuwa yapata kama saa kumi hivi.