sw_jhn_text_ulb/01/32.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 32 Yohana alishuhudia, "Niliona Roho akishuka kutoka mbinguni mfano wa hua, na ilibaki juu yake. \v 33 Mimi sikumtambua lakini yeye aliyenituma ili nibatize kwa maji aliniambia, 'yule ambaye utaona Roho akishuka na kukaa juu yake, Huyo ndiye abatizaye kwa Roho Mtakatifu.' \v 34 Nimeona na nimeshuhudia kwamba huyu ni Mwana wa Mungu."