sw_jhn_text_ulb/01/19.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 19 Na huu ndio ushuhuda wa Yohana wakati makuhani na walawi waliotumwa kwake na Wayahudi kumwuliza, "Wewe ni nani?" \v 20 Bila kusitasita na hakukana, bali alijibu, "Mimi sio Kristo." \v 21 Hivyo wakamuuliza, "kwa hiyo wewe ni nani sasa?" Wewe ni Eliya? Akasema, "Mimi siye." Wakasema, Wewe ni nabii? Akajibu," Hapana."