sw_jhn_text_ulb/01/14.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 14 Naye Neno alifanyika mwili na akaishi miongoni mwetu, tumeuona utukufu wake, utukufu kama wa mtu pekee wa kipekee aliyekuja kutoka kwa Baba, amejaa neema na kweli. \v 15 Yohana alishuhudia kuhusu yeye, na alipaza sauti akisema, "Huyu ndiye ambaye nilisema habari zake nikisema, "Yule ajaye baada yangu ni mkuu kuliko mimi, kwa sababu amekuwako kabla yangu."