sw_jhn_text_ulb/20/24.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 24 Thomaso, mmoja wa wale kumi na wawili, aliyeitwa Didimas, hakuwa na wanafunzi wenzake Yesu alipokuja. \v 25 Wale wanafunzi wengine waka mwambia baadaye, "Tumemwona Bwana." Naye akawambia, "Kama sitaona alama za misumari katika mikono yake, na kuweka vidole vyangu kwenye hizo alama, na pia kuweka mkono wangu kwenye ubavu wake sitaamini."