sw_jhn_text_ulb/20/11.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 11 Hata hivyo, Mariamu alikuwa amesimama kaburini akilia, alivyokuwa akiendelea kulia alisimama kisha akatazama kaburini. \v 12 Akaona malaika wawili wenye sura nyeupe wamekaa mmoja kichwani na mwingine miguuni mahali ambapo Yesu alikuwa amelala. \v 13 Nao wakamwambia, "Mwanamke, kwa nini unalia?" Naye akawaambia, "Ni kwa sababu wamemchukua Bwana wangu, nami sijui walikomweka."