sw_jhn_text_ulb/19/25.txt

1 line
463 B
Plaintext

\v 25 Askari walifanya mambo haya. Mama yake Yesu, dada wa mama yake, Mariamu mke wa Kleopa na Mariamu Magdalena - wanawake hawa walikuwa wamesimama karibu na msalaba wa Yesu. \v 26 Yesu alipomwona mama yake pamoja na yule mwanafunzi aliyempenda wakisimama karibu, akamwambia mama yake, "Mwanamke, tazama, ona mwanao huyu hapa!" \v 27 Kisha akamwambia yule mwanfunzi, "Tazama, huyu hapa mama yako. "Tokea saa hiyo yule mwanafunzi akamchukua kwenda nyumbani kwake.